Graphics Designing
- Je, umechoka kuona grafiks zilizokosa mvuto wala ubunifu?
- Je, unataka kuwa wa kipekee katika ubunifu na uandaaji wa grafiks kwa ajili ya magazeti aina zote na vyombo vya habari vya kielekrioniki?
Karibu tukufundishe namna ya:
- Kubuni na Kuandaa grafiks za magazeti, majarida n.k (Creating and Designing graphics for printing media etc)
- Kubuni na kutengeneza utangulizi kutambulisha kipindi kwenye Luninga (Creating and Producing Promos for TV programs)
- Kubuni na Kuandaa matangazo ya Kigrafiks ya Luninga (Creating and Designing Moving Commercials Graphics)
- Kubuni na Kuandaa matangazo ya Kigrafiks ya Mitandao ya Kijamii (Creating and Designing Video Graphics for Social Media) n.k
Ujuzi huu una soko kubwa la Ajira kwa sasa, na hata ukiwa la laptop yako unaweza kujiajiri.
Muda wa kozi ni wiki sita (6) tu.