dsj
Course: Customer Relations (Care)
FEES : TSHS. 480,000.00

Customer Relations (Care)

Haushangai kuona Biashara/Ofisi/Duka fulani vinapata wateja wengi kuliko wengine/wewe!

Moja ya makosa makubwa yanayofukuza wateja wengi ni huduma mbovu tunazowapa.

  • Je, unatambua mbinu nzuri ya kuhudumia wateja?
  • Je, ungependa kuhudumia wateja kwa uweledi?
  • Je, wafanyakazi wako wanafahamu mbinu chanya za kumfanya mteja ahitaji huduma ya Biashara yako mara zote?
  • Na wewe unayetarajia kwenda kuhudumia wateja, Je, unafahamu kuwa unahitaji uweledi na cheti ili upate uhakika wa ajira?

Ukija kwetu utapata wabobezi wa mbinu za kurudisha, kubakisha na kukuongezea wateja. Watakupa mbinu zifuatazo:

  • Aina ya Lugha zitarajiwazo na Wateja
  • Maadili ya kuhudumia wateja
  • Saikolojia ya Wateja
  • Kutengeneza uhusiano mzuri na Wateja n.k

Muda wa kozi ni wiki sita (6) tu.