dsj
Courses

ALL COURSES

Why Laravel Framework?

If you are a web developer or web designer or you want to become a web developer, this course is ideal for you. You can learn Laravel PHP Framework with this course. This course is beginner level and it starts from scratch. Hence, a beginner or a student can easily take this course and learn from it. Laravel is a PHP framework for modern web apps. Laravel is a free, open source PHP web application framework, designed for the development of MVC web applications. This course will be a project base, learn the basics to start coding in the hottest most popular PHP framework in the industry.

 

After a successful completion of this course, one should be able to:

   1. Learn how to install and configure Laravel.

   2. Learn foundational topics such as routing and requests, controlling using databases.

   3. Understand the syntax.

   4. Learn authentication system, and much more.

   5. Understand the file structure.

   6. Understand basic workflow.

   7. Learn to submit forms, process data, and save it into your database.

   8. Start simple laravel projects

 

Requirements:

  1. Basic PHP syntax 

  2. Basic Object Oriented Programming concepts knowledge

  3. HTML and CSS (would be required when modifying website source html files)


Academic Year:
Fees: 420000

JE, UNAENDESHA MITANDAO YA KIJAMII LAKINI HAUJASOMEA UANDISHI WA HABARI?

Yafuatayo ni baadhi ya mambo unayopaswa kufahamu ili kuongeza ubora wa mitandao yako:

  1. Uandishi bora wa habari za mitandaoni,
  2. Maadili ya matumizi ya mitandao ya jamii,
  3. Sheria za mitandao na jinsi zinavyofanya kazi,
  4. “Point” 3 zitakazovutia Wafuatiliaji (Followers) wako,
  5. Jinsi ya kuandaa Maudhui (contents) bora yatakazovutia mitandao yako, na
  6. Uandishi bora wa vichwa vya habari kwa ajili ya picha za kurushwa mitandaoni

Na mengine mengi

Muda wa kozi ni wiki tatu (3) tu.


Academic Year:
Fees: 300000
  • Je, unatambua kuwa uzalishaji wa vipindi vya Redio ni muhimu katika Tasnia ya Uandishi wa Habari?
  • Je, unatambua kama muandaaji wa vipindi vya Redio ni mtu muhimu sana katika Redio?
  • Je, unatambua kuwa, kama hakuna muandaaji wa vipindi hakuna matangazo ya Redio?

Acha kuandaa kiholela, njoo tukupe:

  • Ujuzi juu ya Uandaaji wa Vipindi vya Redio
  • Uelewa wa kuufahamu na kuusoma Mwongozo (Script) ya kipindi
  • Kutengeza Mwongozo wa Vipindi
  • Elimu ya kumiliki chumba cha uzalishaji wa vipindi, na uendeshaji wa mitambo yenyewe n.k 

Muda wa kozi ni wiki sita (6) tu.

 


Academic Year:
Fees: 480000
  • Je, unajua kwamba ulimwengu upo kiganjani kwako?
  • Je, unajua kuwa utumiaji mzuri wa mitandao ya kijamii unaleta tija?
  • Je, unataka kutajirika haraka kwa kuuza bidhaa /huduma mitandaoni?
  • Je unafahamu kuwa hii ni Ajira yenye Mshahara Mkubwa?  

Njoo tukufundishe jinsi ya:

  • Kutumia vizuri mitandao ya kijamii na kuwa soko zuri kwako
  • Kuokoa muda wa kuzunguka na kusubiri wateja wa kununua huduma na bidhaa zako.
  • Kufikia wateja wako kwa urahisi
  • Kupata wateja ambao haujawahi kuwapata n.k 

Muda wa kozi ni wiki nne (4) tu.


Academic Year:
Fees: 480000

Katika ulimwengu wa leo tunajua kuwa magazeti ni muhimu

  • Je, unajua magazeti ni sehemu muhimu katika idara ya Habari?
  • Je, unajua kuwa magazeti ndio chombo cha habari cha kwanza kuanzishwa na rahisi kujifunza?
  • Je, unahitaji vyombo vya habari vikubwa Duniani vikugombanie?
  • Je, unajua unaweza kujiajiri? 

Njoo tukufanye kuwa :

  • Muandaaji  mzuri na bora wa magazeti
  • Mtengenezaji mahiri wa kurasa za Gazeti
  • Mchanganyaji bora wa picha na habari katika gazeti
  • Mbunifu mzuri wa rangi katika kurasa n.k 

Muda wa kozi ni wiki sita (6) tu.


Academic Year:
Fees: 480000
  • Je, umechoka kuona grafiks zilizokosa mvuto wala ubunifu?
  • Je, unataka kuwa wa kipekee katika ubunifu na uandaaji wa grafiks kwa ajili ya magazeti aina zote na vyombo vya habari vya kielekrioniki?

Karibu tukufundishe namna ya:

  • Kubuni na Kuandaa grafiks za magazeti, majarida n.k (Creating and Designing graphics for printing media etc)
  • Kubuni na kutengeneza utangulizi kutambulisha kipindi kwenye Luninga (Creating and Producing Promos for TV programs)
  • Kubuni na Kuandaa matangazo ya Kigrafiks ya Luninga (Creating and Designing Moving Commercials Graphics)
  • Kubuni na Kuandaa matangazo ya Kigrafiks ya Mitandao ya Kijamii (Creating and Designing Video Graphics for Social Media) n.k 

Ujuzi huu una soko kubwa la Ajira kwa sasa, na hata ukiwa la laptop yako unaweza kujiajiri.

Muda wa kozi ni wiki sita (6) tu.


Academic Year:
Fees: 480000

Tunaamini unapenda kushiriki ukuaji wa “Bongo Movie” kwa kutumia Uweledi

  •  Je, unatamani Bongo Movie isiendelee kushuka/kuyumba?
  • Je, unatamani kuwa mtengenezaji mahiri wa Filamu?
  • Je, unatambua kuwa Filamu ndio kitu kinachofikisha ujumbe haraka kwa jamii?

Acha kuwa mtengenezaji usiyekuwa na ujuzi wala cheti. Karibia tukupe Uweledi ufuatao:

  • Ujuzi wa kuongoza Filamu (Film Directing)
  • Kutambua vizuri maeneo mahiri na yanayofaa kwa ajili ya kutengeneza Filamu.
  • Jinsi ya kuandaa Mwongozo wa Filamu (Script Writing).
  • Kuhariri filamu (Film Editing) n.k.

Muda wa kozi ni wiki sita (6) tu.

 


Academic Year:
Fees: 480000

Imeonekana kuwa “Bongo Movie” inashuka, na moja ya sababu kubwa ni kukosekana uweledi kwenye Tasnia ya Uigizaji wa Filamu.

  • Je, wewe ni mmoja kati ya wenye ndoto za kuwa mwigizaji?
  • Je, unapenda kuwa mwigizaji mahiri?
  • Je, wajua kuwa tasnia ya filamu ni taaluma kama zilivyo taaluma nyingine?

Usitafute umaarufu wa kuuza sura pasipo uweledi, jongea tukufunze yafuatayo:

  • Uigizaji wenye kufuata taaluma maalum
  • Uigizaji wenye mashiko na mvuto
  • Mitindo mbalimbali ya kuigiza (Tamthilia, komedi n.k) n.k
  • Baada ya Mafunzo haya, itakuwa rahisi kwako kupata mikataba na Makampuni makubwa na ya kimataifa.

Muda wa kozi ni wiki sita (6) tu.

 


Academic Year:
Fees: 480000

Haushangai kuona Biashara/Ofisi/Duka fulani vinapata wateja wengi kuliko wengine/wewe!

Moja ya makosa makubwa yanayofukuza wateja wengi ni huduma mbovu tunazowapa.

  • Je, unatambua mbinu nzuri ya kuhudumia wateja?
  • Je, ungependa kuhudumia wateja kwa uweledi?
  • Je, wafanyakazi wako wanafahamu mbinu chanya za kumfanya mteja ahitaji huduma ya Biashara yako mara zote?
  • Na wewe unayetarajia kwenda kuhudumia wateja, Je, unafahamu kuwa unahitaji uweledi na cheti ili upate uhakika wa ajira?

Ukija kwetu utapata wabobezi wa mbinu za kurudisha, kubakisha na kukuongezea wateja. Watakupa mbinu zifuatazo:

  • Aina ya Lugha zitarajiwazo na Wateja
  • Maadili ya kuhudumia wateja
  • Saikolojia ya Wateja
  • Kutengeneza uhusiano mzuri na Wateja n.k

Muda wa kozi ni wiki sita (6) tu.

 


Academic Year:
Fees: 480000

Haushangai ni kwanini watu wengi wakiwemo watalii wanaridhika zaidi watumiapo ndege badala ya mabasi kama usafiri hapa Tanzania, ingawa ndege ni gharama zaidi! Moja ya sababu ni huduma nzuri zitolewazo na wahudumu wa ndege.

  • Je, unatambua kuwa kuhudumia abiria ni Taaluma kama nyingine?
  • Je, unatambua kuwa Huduma nzuri kwenye bus lako itaongeza idadi ya wateja?
  • Je, wewe uliyeajiriwa kwenye bus, unafahamu kuwa uweledi utaongeza tija na mshahara/kipato?

Mazoea ni ugonjwa mbaya sana kwa watanzania wengi. Ni muda wako sasa tukufunze:

  • Namna ya kuongeza thamani ya Huduma yako kwa abiria
  • Kauli nzuri ya kuongea na Abiria (Mteja)
  • Haiba na muonekano na wa muhudumu (Appearance of a Bus Host(ess)
  • Maadili ya kuhudumia mteja (Ethics of Customer Care)

Muda wa kozi ni wiki sita (6) tu.


Academic Year:
Fees: 480000

Tunajua una Kipaji cha Utangazaji, lakini haitoshi

“Power without Control is Nothing”

  • Je, unajua Utangazaji umefikia ‘thamani ya Dhahabu’ siku hizi?
  • Je, unajua jinsi ya kuitunza na kucheza na Sauti yako jinsi utakavyo?
  • Je, unajua ukosefu wa maadili ya utangazaji waweza kukuweka matatani?

Karibu tukukazie maarifa yako ya:

  • Namna ya kutangaza katika  Radio/Luninga
  • Kuandaa vipindi vya Radio/Luninga kwa umahiri mkubwa
  • Maadili ya Utangazaji wa vipindi vya Redio/Luninga
  • Jinsi ya kuandaa Mwongozo wa Vipindi
  • Jinsi ya kuitengeneza, kuitunza na kucheza na sauti yako n.k

Inafundishwa kwa muda wa wiki sita (6) tu.


Academic Year:
Fees: 480000

This programme allows one to join University for Bachelor Degree in other programmes related to Journalism. Such programs are Journalism itself, Mass Communication, Public Relations, Marketing, Human Resources, Social Work, Community Development, Political Science, International Relations, Advertising, etc.

 

Rationale

The Diploma Programme in Journalism includes media ethics, broadcasting, feature and sports writing, photojournalism, online journalism, Public Relations and Advertising, cross cutting issues like HIV/AIDS, environment, gender, entrepreneurship and democracy, supervisory studies, editing and writing techniques, and investigative skills for exploring some complex journalistic subjects. The purpose of including these studies in the level is two-fold.  First, to equip the learners with skills that will help them take up middle level managerial tasks in the media industry.  Second, to provide learners with skills that enable them to undertake analysis, writing and editing of multifarious media issues. 

 

Aim

The aim of the Diploma Programme is to equip the candidates with requisite knowledge and skills that will enable them to perform semi-managerial and non-routine tasks in the media industry.

 

Objectives

The main objective of Diploma Programme in Journalism is to develop capability for the learners to apply generic competencies in assisting in managing news rooms and studios, write and analyse issues, and edit media material for both print and electronic media.

 

Minimum entry requirement / Eligibility

The Applicant must have completed form VI (ACSEE) with at least one (1) Principal and one (1) Subsidiary, or one must have pursued a Certificate in Journalism or related programme with at least a GPA of 2.0 from a Government recognised Institution.


Academic Year:
Fees: 1229500

It is a one year course that after its completion allows one to join Diploma in Journalism

 

Rationale 

The Certificate in Journalism programme includes the History of Journalism, Journalism and Society, Journalism Ethics and Practice, News Concepts and Values, Interview and News gathering, News Writing, Media Laws and Policies, English and Kiswahili for Journalists, Basic Computer Applications.

 

The purpose of including these studies in this programme is two fold.  First, they enable the learner to acquire skills for the practice of journalism and secondly, they form the basis for further studies and continuing professional development.

 

Aim 

The aim of the Certificate in Journalism course is to equip the candidates with requisite knowledge and skills that will enable them to perform mostly routine tasks in the media industry.

 

Objectives

The main objective of the Certificate in Journalism is to inculcate appropriate generic competencies in the candidates to enable them to obtain a qualification award at NTA level 4.

 

Minimum entry requirement / Eligibility

The programme targets applicants who have completed form IV with at least four passes including English language OR applicants with relevant NVA3 qualifications but also possess at least a form four education qualification. 


Academic Year:
Fees: 1140000